Magendo ya kuagiza sukari KTN Habari

20/04/2020

 News at: 19:22:11

By Seth Olale

Magendo ya kuagiza sukari

Katika video hii ya wiki jana, inadaiwa kua lori hii lilikuwa likisambaza sukari inaaminika kutioka kaunti ya Bungoma. Kinachowakera wakaazi ni kwamba, kipindi tu uagizaji sukari kutoka nje kilianza rasmi ijumaa.

Kumeripotiwa kwamba usambazaji wa sukari hiyo kutoka inchi jirani kumeshuhudiwa katika maeneo ya Mukenya, Asbirago, New Adatia, Madav, Kiminini, Misikhu, Kitale na Chereng’anyi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *