Nzoia kupata Mkurugenzi Taifa Leo

Uk 7
10/07/2019
Shaban Makokha

Matumaini mapya Nzoia ikipata Mkurugenzi mwingine

Kiwanda cha sukari cha Nzoia kimemteua Michael Wanjala Makokha kuwa Meneja Mkurugenzi wake, miezi mine baada ya kifo cha aliyekuwa katika kiti hicho Michael Kulundu.
Bw Kulundu ambaye alihudumu kama Kaimu Meneja Mkurugenzi kwa miaka miwili alikufa mnamo Machi 7, baada ya kutekwa nyara na kuteswa na wakora mnamo Januari 2, akiachwa katika hali mahututi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *